Magoli ya Genk yalifungwa na Malinovskiy dakika ya 21, Colley dakika ya 33, Samatta dakika ya 41 na 72 na Urenen dakika ya 45. Gent walifunga magoli yao kupitia kwa Kalu dakika ya 27 na Coulibaly dakika ya 61.
Haya ni matokeo ya mechi nyingine zilizochezwa usiku huo katika kombe hilo.
APOEL vs Anderlecht (0-1)
Celta de Vigo vs Krasnodar (2-1)
Gent vs Genk (2-5)
København vs Ajax (2-1)
Olympiakos Piraeus vs Beşiktaş (1-1)
Olympique Lyonnais vs Roma (4-2)
Rostov vs Manchester United (1-1)
Schalke 04 vs Borussia M’gladbach (1_1)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni