Kwa sasa kundi hilo limebakiza tu historia na members waliobaki(Witnesz Na Shaa) wanaendelea na maisha yao mengine. Supermega ya Kings Fm imepiga story na Witnesz na ametoa siri kuwa kuna ngoma walizifanya kipindi cha Wakilisha na hazijawahi kutoka.
“Mimi kuziachia sitaweza kuziachia,ila kuna ngoma ambazo nilikuwa nimeziandika,hizo nitafanya mpango wa kuzirudia nizifanye,”amesema Witnesz. Kwa sasa Witnesz ni msanii anayefanya kazi peke yake akishirikiana kwa karibu na mpenzi wake,Ochu Sheggy.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni