HABARIKA NA VENUS

TAARIFA HUKUJUZA MENGI YA ULIMWENGUNI

Jumatatu, 15 Januari 2018

Colabo kubwa Afrika imefanyika,AfroPop Ft HipHop….

Staa wa Muziki kutoka Nigeria Davido ‘AfroPop’ ameingia studio na msanii mkubwa wa Rap na HipHop kutoka Afrika Kusini Cassper Nyovest na wamefanya colabo. Kwenye IG yake Davido amethibitisha kuwa tayari wamefanya colabo na wimbo huo ni CLASSIC. Davido...
Read more

Kwa wiki mbili watu 1,500 wa-pre order albamu ya Vanessa ‘Money Mondays’

Msanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee amefunguka alipofikia kimauzo albamu yake mpya ‘Money Mondays’. Albamu hiyo ambayo ilitoka December 20 mwaka jana na kuanza kuuzwa kwa mfumo wa Pre order wiki (Alhamisi) hii inatarajiwa kuwa mtaani katika...
Read more

Alhamisi, 11 Januari 2018

Kauli ya Zari kuhusu Wasafi TV na Redio

Baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady amempongeza muimbaji huyo mara baada ya kuweka wazi ujio wa kituo chake cha redio na runinga. Katika pongezi hizo Zari amemtaja Diamond kama mtu anayejituma zaidi katika kile anachokifanya....
Read more

Jumatatu, 29 Mei 2017

Breaking News: IGP Simon Sirro Aapishwa Rasmi na Rais Magufuli Ikulu, Mangu Ashuhudia

Jumamosi, 6 Mei 2017

Baba yangu alinipa jina ‘Majuto’ akiwa gerezani – Ben Pol

Msanii wa muziki wa R&B Ben Pol, amesema kuwa Baba yake mzazi alifungwa kifungo cha miaka miwili wakati mama yake mzazi akiwa na ujauzito wake. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘ Phone’, amesema baaada ya kuzaliwa alipelekwa...
Read more

JLo alinizingua kolabo, ila nitamtafuta Nick Minaj- Shilole

Zuwena Mohamed maarufu kaka Shilole ametoa ufafanuzi wa kushindikana kufanya kolabo yake na Jennifer Lopez(JLo) ambayo msanii huyo alitangaza kufanya nae. JLo amesema kuwa alisha onana na meneja wa msanii huyo kutokea Marekani na kuongea...
Read more

Jumatatu, 17 Aprili 2017

Kim Kardashian na Kanye West waonesha picha hii ya familia kusherehekea Pasaka

Tangu alazwe na hospitali na kutoka mwishoni mwa mwaka jana, Kanye West amekuwa mkimya na kipaumbele pekee katika maisha yake sasa ni familia. Mke wake Kim Kardashian ambaye naye anaendelea kurudi...
Read more